Monday, November 25, 2013

UJUMBE KUTOKA CHINA WATEMBELEA MAENEO MBALI MBALI DAR

IMG_0269
Baadhi ya ujumbe wa watu wapatao zaidi ya 70 kutoka Serikali za Mitaa wakiaangalia mchoro wa ramani ya Tanzania ili kuelewa maeneo mbalimbali leo katika Makumbusho ya Taifa jijini Dares Salaam.
IMG_0282
Naibu Gavana wa Jimbo la  Shandong , Xia  Geng akiangalia picha ya  mbalimbali za baba wa taifa hayati Mwalimu Julius  K. Nyerere katika Makumbusho ya Taifa  ikiwemo ya kuwekwa wakfu  kuwa  Rais wa Kwanza  wa Tanzania  mwaka 1962 leo jijini Dares Salaam.
IMG_0286
Baadhi ya ujumbe  wa ya ujumbe wa watu wapatao zaidi ya 70 kutoka Serikali za Mitaa  China  wakiaangalia moja ya behewa la  Reli ya Tanzania na Zambia  leo  mara baada ya kuetembelea ofisi ya makao makuu ya reli hiyo jijini Dares Salaam.
IMG_0289
Baadhi ya ujumbe   wa watu wapatao zaidi ya 70 kutoka Serikali za Mitaa  China  wakiaangalia mchoro wa ramani ya kuonesha njia ya Reli ya Tanzania na  Zambia kwenye  makao makuu ya ofisi ya  Reli ya Tanzania na Zambia jijini Dares Salaam.
IMG_0296
Baadhi ya ujumbe   wa watu wapatao zaidi ya 70 kutoka Serikali za Mitaa  China  wakiaangalia picha za viongozi mbalimbali wa nchi hizo kwenye  makao makuu ya ofisi ya  Reli ya Tanzania na Zambia jijini Dares Salaam.
IMG_0298
Naibu Gavana wa Jimbo la  Shandong , Xia  Geng( kulia) akimkabidhileo  zawadi ya kuonesha upendo  Afisa Masoko ya  Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia(TAZARA), Michael Myange (katikati) na kushoto ni Mkuu wa Kituo cha Polisi cha TAZARA, Bakari Makuka mara ya kutembelea  ofisi ya makao makuu ya reli hiyo jijini Dares Salaam. 
IMG_0301
Naibu Gavana wa Jimbo la  Shandong , Xia  Geng( kushoto)akionesha moja ya tisheti zinazotengenezwa nchini kupitia mwekezaji kutoka nchi hiyo kwenye Mamlaka ya Ukanda Maalum wa Uwekezaji Tanzania (EPZA)  leo  mara baada ya  kutembelea eneo hilo jijini  Dares Salaam.(Picha na Magreth Kinabo – Habari Maelezo)
Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About