Welcome to our online store Portal

Template Information

Sunday, December 1, 2013

Dkt. Bilal awaongoza Waombolezaji maziko ya mtoto wa Makamu Mwenyekiti wa CCM (Peter Mangula)


7
 Baadhi ya Vijana wa CCM, wakibeba Jeneza lenye mwili wa marehemu Peter Mangula, wakati wakiwasili kwenye makaburi ya Kinondoni kwa maziko. (Picha na OMR).
6
Jeneza lenye mwili wa marehemu Peter Mangula likishushwa kaburini.
07
01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka udongo katika kaburi la mtoto wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, (Peter Mangula), wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
04.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, akiweka udongo kwenye kaburi la mtoto wake, Peter Mangula, wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika katika makaburi ya Kinondoni  jijini Dar es Salaam,
05
Watoto wa marehemu, wakiweka udongo kwenye kaburi ikiwa ni ishara ya kumzika baba yao. 
02
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, akiwaongoza sehemu ya wanafamilia kuweka shada la maua kwenye kaburi la mtoto wake, (Peter Mangula), wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika katika makaburi ya Kinondoni.
03
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Shada la maua kwenye kaburi la mtoto wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, (Peter Mangula), wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
1
 Meya wa Ilala, Jerry Slaa,akiweka shada la maua.
2
Kingunge Ngambale Mwilu, akiweka shada la maua kwa niaba ya wazee.
3
Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt. Wilbload Slaa, akiweka Shada la maua.
4
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Mwigulu Nchemba na Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai, wakiweka mashada ya maua.
5
Waziri Mkuu Mstaafu, Salim Ahmed Salim,akiwaongoza mawaziri wenzake wastaafu, kuweka mashada ya maua.
06
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na waombolezaji wakati wa shughuli za maziko ya mtoto wa Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, (Peter Mangula) zilizofanyika kwenye Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
08
09

Related Product :

0 comments:

Post a Comment

Why Shop on Bongo Online?

We make your shopping experience easy and exciting with our multiple payment options, amazing deals and unbeatable prices. You may pay on delivery or online with your Mobile Money. We fulfill your orders within the estimated time frame at your preferred location. We are committed to serving you, and your satisfaction is of utmost importance to us. Rest assured that for a wonderful shopping experience, Bongo Online Shop is the best place to be

About

Swissgear Smart Bag

468x60 Ads

HIDDEN CAMERA

Support : tzamaizing@gmail.com | Tzamaizing Template | +255 653 33 29 24
Copyright © 2015. AZIZI COMPUTER DOCTOR - All Rights Reserved
Template Created by Tzamaizing Published by Tzamaizing
Proudly powered by Bongo Online Shop