PG4A9627
Mbunge wa Kuteuliwa , Dr. Asha – Rose Migiro akiongozwa na Mpambe wa Bunge  na kusindindikizwa na badhi ya wabunge wa CCM kuingia Bungeni ili kuapishwa na Spika wa Bunge, Anne Makinda, Mjini Dodoma Desemba 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
PG4A9630
PG4A9643
Mbunge wa Kuteuliwa, Dr. Asha – Rose Migiro akiapa, Bungeni Mjini Dodoma  Desemba 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).