Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Hakua nyuma ktk ziara ya Kombe la Dunia

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Hakua nyuma ktk ziara ya Kombe la Dunia

pix3
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Sihaba Nkinga (katikati) akielekea katika banda lilipo Kombe la Duni wakati wa ziara ya Kombe hilo hapa nchini  jijini Dar es Salaam, Kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Leonard Thadeo na Kushoto ni Meneja wa Uwanja wa Taifa Rish Moses Urio.
pix1
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Sihaba Nkinga akiwa pembeni ya Kombe la Dunia lililopo nchini katika ziara zake jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Leonard Thadeo akiwa pembeni ya Kombe la Dunia lililopo nchini katika ziara zake  jijini Dar es Salaam.
pix2
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Leonard Thadeo akiwa pembeni ya Kombe la Dunia lililopo nchini katika ziara zake  jijini Dar es Salaam.

pix4
Baadhi ya mashabiki wa mpira wa miguu waliofurika uwanja wa Taifa kushiriki ziara ya Kombe la Dunia wakiwa katika foleni ya kuelekea eneo lilipo Kombe hilo jana jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Frank Shija – WHVUM)
Share this product :

Post a Comment

Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. AZIZI COMPUTER DOCTOR - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger