Thursday, February 20, 2014

MUSEVEN APIGA MARUFUKU UVAAJI WA VIMINI NA MAZIWA NJE!

 
http://azizicompdoc.blogspot.com/
Kwasasa Uganda, imekua nchi ya kuigwa kwa jambo jema, nchi hiyo imepiga marufuku Vazi la “KIMINI” yani Nguo Fupi kwa wanawake wote nchini humo.
Taarifa hiyo imetoka mara baada ya Rais Yoweri Museveni, kusaini mswada huo na kuwa sheria ya nchi, inadaiwa kuwa kuzuia mavazi hayo kutasaidia sana kupunguza vitendo vya Ubaki na Ngono zembe kutoka na ushawishi wa mavazi hayo kwa jamii.
 
Hii kitu ya kutovaa nguo fupi na zile za kuonesha maziwa nje, inaonekana kuwabana wasanii wa kike moja kwa moja, maana wengi wao ndio kichocheo kikubwa kwa jamii. Waziri alifunguka na kusema kuwa   “hatutaki uhusike kufanya watu wakutamani au watamani kufanya ngono, hatutaki ushawishi chochote kwa jinsia ya kiume, kuwa na tabia njema kwa kuvaa kiheshima”.
 
Pia vyombo vya habari vya Uganda vimekatazwa kuonesha watu wakipigana mabusu sambamba na wanawake kuvaa hayo mavazi katika vipind
Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About