Monday, February 17, 2014

NAFASI ZA KAZI 517 ZATANGAZWA NA SERIKALI

http://azizicompdoc.blogspot.com/
Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa
mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa
na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1).Pamoja na kazi zingine chombo hiki
kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa
Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi ya
Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 517 za kazi kwa waajiri mbalimbali
kama ifuatavyo:
Bofya hapa kuona Nafasi zilizotangazwa
Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About