Pages

Monday, March 17, 2014

BUNGE LASITISHWA GHAFLA

http://azizicompdoc.blogspot.com/
Hali hiyo imetokea ghafla saa 11 jioni baada ya mwenyekiti wa mabadiliko ya katiba Jaji Warioba kuingia ktk bunge na wabunge wa bunge maalum  kuamua kupiga meza kama kumpongeza mwenyekiti kwa kuja na kutoacha kupiga meza kwa zaidi ya robo saa, na walipotakiwa kuacha wakawa wanaendelea mpaka pale mwenyekiti wa kudumu Mh Samwel Sitta alipoamua kuliahirisha bunge hilo mpaka itakapotangazwa tena. Je watanzania ni mabadiliko ya kidemokrasia au utovu wa nidhamu na utumiaji mbovu wa rasilimali za watanzania? jibu na maamuzi tunayo sisi wenyewe na kuamua watu hawa kuwarudisha tena bungeni msimu ujao au kuwaondoa wakajifunze tabia. Mali na muda wa watanzania unapotea bila sababu kwa umbumbumbu wa watu wachache, kuna haja ya mabadiliko nchini kwetu

No comments:

Post a Comment