KALENGA KUMEKUCHA CCM YAIZIDI CHADEMA ZAIDI YA MARA 3 KURA ILIZOVUNA
Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Kalenga, Ndg. Godfrey Mgimwa akibebwa juu juu na
wanachama na wapenzi wa CCM baada ya matokeo kuonyesha ameshinda kwa
kishindo Kalenga.
Matokeo Kalenga CCM 16861, Chadema 4273, Chausta 78, Umoja wetu ndio Ushindi Wetu!
No comments:
Post a Comment