Kaimu
Katibu wa Jumuiya ya Maradhi yasiyoambukiza Zanzibar (ZNCDA) akitoa
maelezo ya Jumuiya yao katika uzinduzi wa Jumuiya hiyo uliofanyika
viwanja vya Kibanda maiti Mjini Zanzibar.
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya maradhi yasiyoambukiza Nchini Denmark(NCD) Bibi. Susanne
Volqvartz ambao ni wafadhili wa (ZNCDA) akitoa salamu ya Jumuiya yake
katika sherehe ya uzinduzi wa Jumuiya ya Maradhi yasiyoambukiza
Zanzibar ulifanyika viwanja vya Kibanda maiti Mjini Zanzibar.
Mgeni
rasmin Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Muhammed
Dahoma akizindua Jumuiya ya Maradhi yasiyoambukiza Zanzibar (ZNCDA)
katika sherehe zilizofanyika viwanja vya Kibanda maiti Mjini Zanzibar.
Mgeni
rasmi wakati mwenye katika picha ya pamoja ya viongozi wa (ZNCDA) na
wafadhi wao kutoka Denmark.(PICHA NA MAKAME MSHENGA WA
MAELEZO-ZANZIBAR).
wazo zuri hasa kwa wakati huu wakati jamii zetu zinaathirikakwa kiasi kikubwa juu ya maradhi haya sugu na ambayo yanatuletea vifo kwa kiasi kikubwa.
ReplyDeleteHivyo ni wakati muafaka jamii kupata muongozo juu ya maisha bora kiafya