Tuesday, March 4, 2014

HALI YA UCHAGUZI MDOGO KALENGA


http://azizicompdoc.blogspot.com/

Meneja Kampeni wa Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga kwa tiketi ya CCM, Miraji Mtaturu (kushoto) na kada wa chama hicho, wakionyesha vibao vilivyopigiliwa misumari walivyodai vilitegeshwa katika Kijiji Magunga,kwenye njia iliyokuwa yakipita magari yao

Meneja wa Kampeni za mgombea wa ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga mkoani Iringa, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)

Naibu Katibu Mkuu CCM_Bara Mh:Mwigulu Nchemba akimnadi Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kalenga Ndugu Godfrey Mgimwa
Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About