Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na Naibu wake, Pereira
Sirima (kulia) wakipongezwa na Wabunge baada ya bunge kupitisha bajeti
ya Wizara hiyo, bungeni mjini Dodoma May 16, 2014. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, bungeni mjini Dodoma.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Makambako, Deo Sanga (kushoto)
na Mbunge wa Viti Maaliam, Lediana Mng’ong’o bungeni mjini Dodoma.
0 comments:
Post a Comment