Tuesday, May 6, 2014

RIDHIWANI KIKWETE NA GODREY MGIMWA WALA KIAPO

PG4A8145
Mbunge wa Kalenga, Godfrey mgimwa akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia Bungeni mjini Dodoma Mei 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
PG4A8185
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia Bungeni Mjini Dodoma.
PG4A8195
PG4A8131
 Spika wa Bunge,Anne Makinda na watendaji wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wakiimba wimbo waTaifa kabla ya shughuli za Bunge kuanza.
PG4A8129
Mke   Rais,Mama Salma Kikwete akiwa Bungeni Mjini Dodoma May 6,2014 wakati mwanae,Ridhiwani Kikwete alipoapishwa. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dr. Rehema Nchimbi.
PG4A8214
 Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiapa, Bungeni Mjini Dodoma.
PG4A8163
Mbunge wa Kalenga, Godfrey Mgimwa akiapa Buneni mjini Dodoma.
PG4A8228
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete baada ya kuapishwa, Bungeni Mjini Dodoma.
PG4A8233
Mh. William Lukuvi akipongeza Mh. Ridhiwani Kikwete.
Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About