Wapiganaji wa CAR wasonga mbele
Wapiganaji katika Jamhuri ya Afrika ya Kati wameuteka mji wa Bambari, mji wa tatu kwa ukubwa.
Huo ni mji wa sita kutekwa na wapiganaji hao
tangu kuanza kupigana awali mwezi huu, na ndio karibu kabisa na mji
mkuu, Bangui, kwa wapiganaji hao kuwahi kufika.
Msemaji wa shirika la msaada wa matibabu,
Medecins Sans Frontieres, ameeleza kuwa watu wengi wamekimbia makwao kwa
sababu ya mapigano, pamoja na yale maeneo ambayo bado yanadhibitiwa na
jeshi la serikali.
Wapiganaji hao - wanaoitwa ushirikiano wa Seleca
- wanataka kumtoa madarakani Rais Francois Bozize ambaye wanamshutumu
kuwa hakutimiza ahadi za mkataba wa amani.
Related Product :
Why Shop on Bongo Online?
We make your shopping experience easy and exciting with our multiple payment options, amazing deals and unbeatable prices. You may pay on delivery or online with your Mobile Money. We fulfill your orders within the estimated time frame at your preferred location. We are committed to serving you, and your satisfaction is of utmost importance to us. Rest assured that for a wonderful shopping experience, Bongo Online Shop is the best place to be
0 comments:
Post a Comment