Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda amethibitisha hayo jana jioni Bungeni mjini Dodoma.
Mawaziri
hao waliotenguliwa nyadhifa zao ni: Mhe. David Mathayo David wa Mifugo
na Uvuvi, Mhe. Balozi Khamis Kagasheki wa Maliasili na Utalii, Mhe.
Emmanuel Nchimbi wa Mambo ya Ndani na Mhe. Shamsi Vuai Nahodha wa
Ulinzi.
Mhe. Kagasheki alitangaza kujiuzulu mapema kabla uamuzi huo uliotangazwa na Waziri Mkuu.
Hizi
ni baadhi ya post kwenye wall ya Facebook ya Mh Zitto Kabwe kufuatia
kusomwa kwa Taarifa ya Kamati ya BUNGE kuhusu Operesheni Tokomeza.
0 comments:
Post a Comment