Welcome to our online store Portal

Template Information

Wednesday, August 13, 2014

MOTO MKUBWA WAZUKA KTK MSIKITI WA MTAMBANI

http://azizicompdoc.blogspot.com/
Moto mkubwa umetokea ktk msikiti wa Mtambani uliopo endeo la Kinondoni "B" na kuunguza eneo lote la juu la msikiti huo ambako kunasadikiwa kulikua na madarasa kwa ajili ya shule inayomilikiwa na msikiti huo, chanzo cha moto huo bado hakijajulikana ila inasemekana ulianza ktk chumba kimoja walichokua wanalala wanafunzi wa shule hiyo baadhi wa kike na inasemekana  huenda ikawa ni mshumaa ndio ulisababisha moto huo lakini hizi ni tetesi kwa baadhi ya watu walioshuhudia tukio hilo na tunangojea taarifa maalumu kutoka kwa kamanda wa Polisi wa mkoa wa kipolisi wa kinondoni kuthibitisha chanzo cha moto huo. Endelea kutufuatili zaidi kupata taarifa yote ya tukio hili

Related Product :

0 comments:

Post a Comment

Why Shop on Bongo Online?

We make your shopping experience easy and exciting with our multiple payment options, amazing deals and unbeatable prices. You may pay on delivery or online with your Mobile Money. We fulfill your orders within the estimated time frame at your preferred location. We are committed to serving you, and your satisfaction is of utmost importance to us. Rest assured that for a wonderful shopping experience, Bongo Online Shop is the best place to be

About

Swissgear Smart Bag

468x60 Ads

HIDDEN CAMERA

Support : tzamaizing@gmail.com | Tzamaizing Template | +255 653 33 29 24
Copyright © 2015. AZIZI COMPUTER DOCTOR - All Rights Reserved
Template Created by Tzamaizing Published by Tzamaizing
Proudly powered by Bongo Online Shop