UKUTA WAANGUKA STENDI YA MABASI UBUNGO, MAGARI YAHARIBIKA

UKUTA WAANGUKA STENDI YA MABASI UBUNGO, MAGARI YAHARIBIKA
http://4.bp.blogspot.com/-zEh-j-rbH5s/UP0GLzHR9KI/AAAAAAAAaOc/4rJ6HI3JOzI/s72-c/1.bmp


Sehemu ya ukuta wa kituo cha mabasi ya kwenda mikoani cha Ubungo, jijini Dar es Salaam, leo alfajiri  umeanguka na kuyaharibu vibaya magari  zaidi ya ishirini yaliyokuwa yameegeshwa nje ya eneo hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Charles Kenyela alisema kuwa idadi ya magari yaliyopatwa na ajali hiyo yanakadiriwa kufikia 24 ambapo watu watatu wanasemekana wamejeruhiwa.
 Baadhi ya magari yaliyoangukiwa na ukuta.
 Magari mbalimbali yakiwa chini ya kifusi.
 Gari aina ya Noah likiwa limegandamizwa na zege.
 Hii ndiyo hali halisi ya tukio lilivyokuwa.
 Gari aina ya Toyota likiwa limebonyezwa na zege.
 Watu wakiangalia magari yao.
 Kenyela akiongea jambo juu ya ajali hiyo.
 likuwa ni hasara tupu.
 Hali ilikuwa ni mbaya katika zahama hiyo ya alfajiri ya leo.
Share this product :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. AZIZI COMPUTER DOCTOR - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger