Monday, May 6, 2013

Tamko la Serikali kuhusu mlipukowa wa Arusha

nchimbi c9e41
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Dkt.Emmanuel Nchimbi
Na Immaculate Makilika-Maelezo
SERIKALI imesema kuwa itachukua hatua kali kwa mtu yeyote bila kujali hadhi nafasi yake katika jamii  kufuatia  kuwepo kwa watu wachache wasiyoitakia  mema nchi  yetu kutaka kupandikiza chuki za kidini miongoni mwa Watanzania na kuleta mapigano, mauaji  nchini
Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi wakati  akitoa kauli ya Serikali  kuhusu mlipuko wa uliotokea katika kanisa la katoliki la Mtakatifu Joseph  Parokia ya Olasiti  Arusha  mjini Mei 5, mwaka huu saa 4:30  asubuhi na kusababisha  vifo vya watu wawili na kujeruhi  59, kati ya hao watatu ni mahututi.

Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About