Welcome to our online store Portal

Template Information

Tuesday, November 5, 2013

JUA UKWELI KUHUSU M23 WAMESAMBARATIKA AU LAA?


Lambert Mende Msemaji wa serikali ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Serikali ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo imesema majeshi yake kwa kushirikiana na kile kikosi maalum cha Umoja wa Mataifa kilichopewa uwezo wa kupambana na waasi wa M23 kimewapiga waasi hao katika ngome yao ya mwisho.
Msemaji wa Serikali Lambert Mende ameiambia www.azizicompdoc.blogspot.com kuwa wapigani waliobaki wa M23 wanaweza wakawa wamekimbia , wamevuka mpaka au wamejisalimisha.
Mende amesema kikosi maalum cha majeshi ya nchi hiyo kimeharibu silaha za waasi hao usiku kucha na inasadikiwa kiongozi wa kijeshi wa kundi hilo la M23 Sultani Makenga ni miongoni mwa waliovuka mpaka na kuingia Rwanda au Uganda.
Wakati huo huo viongozi wa nchi za SADC wanaokutana nchini Afrika Kusini wamezunguzia mgogoro wa Jumuhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kuwataka viongozi kundi la waasi wa M23 kutangaza kusimamisha mapigano.
Taarifa iliyotolewa baada ya mkutano huo imesema kama waasi hao watachukua hatua hiyo mkataba wa amani unaweza kusainiwa ndani siku tano zijazo.

Related Product :

0 comments:

Post a Comment

Why Shop on Bongo Online?

We make your shopping experience easy and exciting with our multiple payment options, amazing deals and unbeatable prices. You may pay on delivery or online with your Mobile Money. We fulfill your orders within the estimated time frame at your preferred location. We are committed to serving you, and your satisfaction is of utmost importance to us. Rest assured that for a wonderful shopping experience, Bongo Online Shop is the best place to be

About

Swissgear Smart Bag

468x60 Ads

HIDDEN CAMERA

Support : tzamaizing@gmail.com | Tzamaizing Template | +255 653 33 29 24
Copyright © 2015. AZIZI COMPUTER DOCTOR - All Rights Reserved
Template Created by Tzamaizing Published by Tzamaizing
Proudly powered by Bongo Online Shop