PINDA AFUNGUA MKUTANO WA VIONGOZI WA CHINA NA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA

PINDA AFUNGUA MKUTANO WA VIONGOZI WA CHINA NA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA


IMG_7530
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiimba Wimbo wa Taifa na baadhi ya viongozi wengine kabla ya ufunguzi wa  mkutano wa majadiliano wa ushirikiano wa Serikali za Mitaa za Tanzania na China katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa  Mwalimu  Julius .K. Nyerere jijini Dar es Salaam.
(Picha na Magreth Kinabo – Habari Maelezo)
PG4A2256
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoa hotuba ya kufungua  mkutano wa majadiliano wa ushirikiano wa Serikali za Mitaa za Tanzania na China katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa  Mwalimu  Julius .K. Nyerere jijini Dares Salaam.
IMG_7601
IMG_7587
Balozi wa China nchini,  Lu Youqing akitoa hotuba ya kufungua  mkutano wa majadiliano wa ushirikiano wa Serikali za Mitaa za Tanzania na China katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa  Mwalimu  Julius .K. Nyerere jijini Dares Salaam.
IMG_7551
Baadhi ya wajumbe wakiwa  katika mkutano wa majadiliano wa ushirikiano wa Serikali za Mitaa za Tanzania na China  katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa Mwalimu  Julius .K. Nyerere jijini Dares Salaam uliofanyika jana.
IMG_7554
IMG_7582
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza jambo na  Waziri wa Nchi  Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali(TAMISEMI), Hawa Ghasia wakati   mkutano wa majadiliano wa ushirikiano wa Serikali za Mitaa za Tanzania na China katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa  Mwalimu  Julius .K. Nyerere jijini Dares Salaam.
Share this product :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. AZIZI COMPUTER DOCTOR - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger