Sunday, January 26, 2014

JICHO LA SERIKALI SASA LAHAMIA MIKOA YA KUSINI


01
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mizengo Pinda akizindua na kuweka jiwe la msingi la kiwanda cha saruji cha MEIS eneo la Machole mkoani. 
02
Sehemu iliyoandaliwa kitakapojengwa kiwanda cha saruji cha MEIS eneo la Machole mkoani Lindi.
03
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mizengo Pinda akitembelea baadhi ya maeneo ya kiwanda cha saruji cha MEIS  baada ya kikizindua.
04
Bi . Asha Ismail mkazi wa Kitomanga mkoani Lindi akitwishwa ndoo ya maji na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mizengo Pinda baada ya kuzindua kisima cha maji kilichojengwa na kampuni ya CCP inayojenga bomba la mafuta kutoka Mtwara kwenda Dar es salaam.
05
Mhandisi Baltazari Mrosso akitoa maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa bomba la gesi linalotoka Mtwara mpaka Dar es salaam kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mizengo Pinda wakati anakagua maendeleo ya ujenzi wa bomba hilo.
Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About