http://azizicompdoc.blogspot.com/
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Waziri wa Nishati na Madini wa Algeria,  Youcef Yousif (kuilia kwake)  na  Ujumbe wake,Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba  8,2013. Kushoto kwake ni Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter  Muhongo  
 (Picha na Ofisi ya Waziri MKuu)