Saturday, February 8, 2014

CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA MKOANI LINDI CHAPATA GARI MPYA

Gari mpya aina ya TATA iliyopatikana kwa ushirikiano wa Wananchi wa mkoa wa Lindi na na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania mkoa wa Lindi wakiwa ktk picha ya pamoja na Uongozi wa juu wa mkoa wa Lindi na Chuo Kikuu huria
Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Huria mkoani Lindi wakiwa ktk picha ya pamoja baada ya kukabiziwa gari mpya kwa mkoa wa Lindi ambayo itasaidia kuhakikisha wananchi wanapewa huduma bora zaidi na kwa wakati
Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About