Wednesday, February 26, 2014

KUA WA KWANZA KUISHI KTK APARTMENT MPYA NA ZENYE UBORA TANZANIA

Je unahitaji nyumba ya kuishi? unahitaji nyumba iliyo ktk mandhari tulivu yenye upepo mwanana wa bahari? unahitaji kuishi ktk maeneo yenye nafasi na hewa nzuri? Basi huu ni wakati wako wa kuishi ktk nyumba hizi zilizopo OYSTERBAY. Wasiliana nasi kwa no 0653 33 29 24. Email mnyengema@gmail.com (Mwonekano wa Apartment hizo kwa nje Mbele)
Muonekano wa Apartment kwa karibu nje mbele
Muonekano wa Apartment hizo kwa pembeni Nje
Apartment hizo zimetenganishwa na  Bwawa la kuogelea
Pembezoni mwa Apartment hizo kuna Bustani nzuri ya maua na nyasi zinazopendezesha mandhari

Bwawa la kuogelea likionekana kwa karibu na Apartment hizo kwa wenye kupenda kuogelea
Lift kwa ajili ya kukurahisishia kupanda ghorofa moja baada ya nyingine

Apartment hizo ktk muonekano wa ndani

Ukiwa ndani unaweza kuyaona mandhari ya nje kwa vizuri pia
Mandhari ya Apartment hizo kwa ndani juu
Mandhari ya vyoo vya Apartment hizo

Jacuzzi maalumu na lenye ubora ktk bafu za Apartment hizo
Muonekano wa Jacuzzi kwa nje

Muonekano eneo la jiko la Apartment hizo
Muonekano mzuri wa mandhari ya Apartment hizo
Muonekano wa Bwawa la kuogelea kwa karibu
Bustani nzuri ya nyasi na maua inayopendezesha mandhari

Eneo la kuegeshea magari ambalo liko chini ya Apartment hizo (Underground Parking)

Apartment hizi ni mpya ambazo hazijawahi kukaliwa kabisa

Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About